Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana
wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na
kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume
na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale
Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo
limefanyika SA Cheza kwa Madoido.
Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......
Post Top Ad
Tuesday, September 8, 2015

Home
Unlabelled
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment