HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 8, 2015

demo-image

MSHUHUDIE MTOTO WA MIAKA MITATU (3) AKICHEZA NA NYOKA AINA YA CHATU..

Image18
Huyu ndie Mtoto Mwenye miaka Mitatu (3) Mwenye uwezo wa kucheza na Nyoka aina ya Chatu ni jambo la kushangaza kwa mtoto huyu kucheza na nyoka na ni jamba lililo washangaza wengi katika banda la maonyesho ya Nanenane Jijini Mbeya...Picha na Fadhiri Atick.(Mr.Pengo) Mbeya.
Image16
Mtoto huyo akichezea Meno ya chatu huyoo..
Image20
Hapo akinyanyua Nyoka hiyo aina ya Chatu kumuweka begani..
Image22
Nyoka akiwa kwenye Bega la Mtoto huyoo
Image23
Watu walio tembelea banda hilo (hawapo pichani) wakipata picha kuajili ya kumbukumbu..
Image19
Image24
Mtoto huyo akifanya yake na Chatu huyo huku akifurahia jamboo..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *