Baadhi ya nyumba za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) zilizopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya jikoni
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiangali akikagua nyumba ya shirika hilo kabla ya kuikabidhi kwa mnunuzi wa nyumba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid.
Mmeona mandhari ya nyumba ilivyokuwa nzuri
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula (kulia) akimkabidhi funguo ya nyumba, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid baada ya kununua nyumba ya shirika hilo iliyopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid.
Wakipewa kadi ya Luku
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid akiweka saini baada ya kununua nyumba ya shirika hilo iliyopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid. Kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula.
Karibuni ndani
disclose bei
ReplyDeletebei nafuu bei nafuu sema sh ngapi bhana...
ReplyDeletebei nafuu hwo much, mbona hamsemi na mnapeanawakubwa tu,acheni kudanganya wa tz.
ReplyDeleteHow much do you term as "bei nafuu"?
ReplyDeleteWekeni bei wazi, mbona tunaona vibopa tu ndiyo wanaonunua?
ReplyDeleteHizo nyumba ni shs ngapi? mbona matangazo hayatolewi? WATU WANAZIPATAJE? tunaomba tufahamishwe vizuri la zitaishia mikononi mwa vigogo! form za maombi ziwekwe wazi.
ReplyDeletemauzo ya nyumba hizo hayako wazi.Ni vyema mkatangaza katika vyombo mbalimbali vya habari mkitaja bei halisi,na namna ya ulipaji.
ReplyDeletePls be open on this. How much does it cost for a house? Give us the categories
ReplyDeleteWEKENI BEI WAZI MBONA TUNAONA VIBOPA TU NDIYO WANAONUNUA?
ReplyDeleteWEKENI WAZI BEI ZA NYUMBA
ReplyDelete