HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 10, 2012

demo-image

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NANSIO UKEREWE.

DSC_0427
Kwa mujibu wa tafsiri ya neno uchafu ni kitu chochote kisichokuwa kwenye mpangilio maalum au utaratibu unaokubalika, angalia vizuri ukaaji wa haya mabango.
DSC_0415
Na hapa napo ndio vile vile viongozi wa Ukerewe jipangeni kwa hili, ingawa kila mmoja anajicho lake lakini lakwangu limeona hli silo labda wenyewe.
DSC_0443
Hili nalo sijui ni gofu au nini sijui lakini kuwepo kati ya mji wa Nansio halifurahishi.
DSC_0511
Hii ndioyo Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe ambapo hivi karibuni wamefanikiwa kuzindua majengo mapya kadhaa.
DSC_0457
Majengo ya zamani ambayo yanaonekana yakiwa imara hadi leo kutokana na kutunzwa vizuri.
DSC_0524
Moja ya matunda yaliyopo kwa sasa Wilayani humo ni embe ambazo zipo nyingi sana lakini mbali na embe mananasi nayo yameanza kuvunwa.
DSC_0445
Hii ni alama ya Ukerewe ipo kwenye kituo cha mabasi kilichopo Nansio.
DSC_0552
Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe yanavutia kutokana utunzwaji wake pamoja na kuwa ya miaka mingi bado yapo kwenye mwonekano nzuri.
DSC_0426
Na huu ni moja ya mitaa ya Nansio, mtaa huu ukijulikana kama Musoma Road.

1 comment:

  1. blogger_logo_round_35

    ni jukumu la vionguzi kusema kweli kuiweka ukerewe hali inayoleta matumaini kama sehem zenye historia kubwa nchini

    ReplyDelete

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *