HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 28, 2010

mtaa wa mafia kariakoo ni mashimo kwa kwenda mbele

Daladala likipita katika moja ya mashimo yaliyochimbika katika barabara ya mtaa wa mafia kariakoo baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha jijini miezi kadhaa iliyopita na kusababisha kuwepo kwa mashimozz makubwa namna hii.
 yaani  ni kero kweli kweli......!!!
 hata wa kikokoteni pia hupita kwa shida.
 hapa utafikiri palikuwa pamechimbwa spesheli kwa kuweka swiming pul,maana pamechimbilka vibaya sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad