HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 17, 2009

Zombe Na Wenzake Waachiwa Huru Leo

ACP Abdallah Zombe na wenzie wakiwa wamezungukwa na makachero na wanahabari wanaondoka mahakama kuu kupitia mlango wa nyuma mara baada ya mahakama kuwaona hawana hatia kwa mashitaka ya mauaji ya wafanyabiashara wa mahenge baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo
wakili machachari aliyemtetea zombe Mh. Jerome Msemwa, akipewa hongera wakati yeye na timu yake wakiondoka mahakama kuu baada ya kuigalagaza timu ya upande wa mashitaka na kuondoka na point tatu muhimu
zombe akipanda vitara iliyokuja kumchukua washtakiwa wenzake na Zombe wakiwahi kupanda Land Rover ya Polisi (farasi mweupe) baada ya kuchoropoka katika kesi iliyowakabili takribani miaka mitatu.
umati mkubwa ulifurika katika Mahakama kuu leo kusikiliza kesi ya Zombe na wenzake.
washabiki wa zombe wakiwa wameachiwa vumbi na vitara aliyopanda zombe.picha zote kutoka Blogu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad