Home Top Ad

Post Top Ad

Recent Posts

View More

Sunday, April 6, 2025

VIONGOZI WA MIKOA NA WILAYA WAAGIZWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI MBIO ZA MWENGE

3 hrs ago 0

OR-TAMISEMIWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote nchini kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2025, ambazo zinalenga kuchochea utekelezaji wa mir...

Read More

TRA yawashukuru Wahariri kwa Kuhamasisha Ulipaji Kodi

3 hrs ago 0

Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amewashukuru viongozi na wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya TRA katika kuhamasisha umma kuhus...

Read More

Saturday, April 5, 2025

"Wakuu wa Mikoa andaeni maeneo ya upandaji miti" - Msigwa.

18 hrs ago 0

Na Mwandishi Wetu - MAELEZO, Zanzibar.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaomba wakuu wa Mikoa ambao maeneo yao itafanyika mikutano ya maafisa habari kuandaa maeneo kwa ajili y...

Read More

Rais Dkt. Samia Azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma

19 hrs ago 0

 Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabi...

Read More

Meridianbet Kumwaga Pesa Jumamosi Ya Leo

19 hrs ago 0

 KAMA kawaida ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi April ambapo inakuja na nafasi ya wewe kuchukua mkwanja wa maana. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa mechi zote.Ligi pendwa Dunia EPL leo hii itaendelea mapema kabisa Arsenal at...

Read More

WADAU WA MADINI WAVUTIWA NA MADINI YANAYOWASILISHWA TGC

21 hrs ago 0

Wadau wa madini wameendelea kuvutiwa na madini yanayowasilishwa katika Kituo Cha Jemolojia Tanzania (TGC) jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mnada wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika Aprili 08, 2025.Katika hatua nyingine, wameipon...

Read More

PUMA ENERGY TANZANIA YACHANGIA MITUNGI YA GESI KATIKA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI MKURANGA

1 day ago 0

Puma Energy Tanzania imeshiriki katika shughuli za za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani, ambazo ziliongozwa na Waziri wizara ya Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Hamisi Ulega, Mkuu wa Wilaya ya Mkuran...

Read More
Page 1 of 71391234567...7139Next »Last

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *