HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 3, 2016

MAJALIWA ATEMBELEA VIWANDA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kiwanda cha Lodhia Plastic Industries Limited kabala ya kukitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016.   Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho  Gambo na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Nodhia Group, Haroon Nodhia.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Industries Limited cha jijini Arusha, Haroon Lodhia (kushoto ) kuhusu utengenezaji wa mabomba ya plastic wakati alipotembelea kiwanda hicho,Desemba 3, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama matangi yanayotengenezwa katika kwanda cha Lodhia Plastic Industries wakati alipokitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016 .
 Waziri Mkuu,Kasim Majaliwa akitazama gari linalotengenezewa bodi maalum kwa ajili ya shughuli za utalii wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza mabodi ya magari cha HansPaul cha jijini Atusha Desemba 3, 2016.
 aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Fibreboards cha Arusha, Tosky Hans (wapili kulia) kuhusu bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho wakati alipokitembelea Desemba 3, 2016. Watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha unga cha MONABAN cha Arusha wakati alipokitembelea  Desemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfuko wenye unga wakati alipotembelea kiwanda cha unga cha MONABAN jijini Arusha Desemba 3, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shehena ya ungwa uliosindikwa wakati alipotembelea kwanda cha unga cha MOBAN cha jijiniArusha Desemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama matangi yanayotengenezwa katika kwanda cha Lodhia Plastic Industries wakati alipokitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad