HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 4, 2016

JK KUONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MZEE YUSUPH MZIMBA KIJIJINI KWAKE MSOGA, CHALINZE LEO

Mwili wa Marehemu Mzee Yusuph Mzimba ukisafirishwa kwenda Msoga Chalinze kwa maziko. Kwa mujibu wa mtoto wa Marehemu, Bw. Kampira, amesema kuwa Rais mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji katika maziko yatakayofanyika katika makaburri ya Familia uko kijiji kwake.
 Kisomo kikiendelea katika  msiba wa Mzee Yusuph Mzimba huko Magomeni Kwa Bi Nyau  jijini Dar es salaam kabla ya mwili wake kuswaliwa na kisha kupelekwa kijijini kwake Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kwa Mazishi leo Desemba 4, 2016.
Msiba wa Mzee Yusuph Mzimba huko Magomeni Kwa Bi Nyau  jijini Dar es salaam kabla ya mwili wake kuswaliwa na kisha kupelekwa kijijini kwake Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kwa Mazishi. Marehemu atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashuhuri wa Yanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad