HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 24, 2016

RC MAKONDA AMSWEKA NDANI MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA GONGOLAMBOTO KWA TUHUMA MBALIMBALI IKIWEMO YA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI

Mwenyekiti Wa Serikali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuagiza akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. 

Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume na taratibu za makusanyo ya fedha za umma.

RC Makonda anaendelea na ziaraa yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo leo amefanya ziara katika Wilaya ya  Ilala.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
 Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo alipokuwa akitoa hotuba fupi kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi
   Mwenyekiti Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa  chini ya ulinzi wa Polisi akipakizwa kwenye gari kwa hatua zaidi za kisheria

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad