HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 11, 2016

RAIS BARACK OBAMA AKUTANA NA RAIS MTEULE DONALD TRUMP IKULU


 Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amekutana na rais Barack Obama Ikulu katika mkutano uliolenga kuandaa mazingira mazuri ya kukabidhiana madaraka.
 Mkutano huo ambao ulilenga kumaliza tofauti zao baada ya kampeni kuisha umemalizika kwa mafanikio makubwa huku Trump akimuelezea rais Obama kama mtu mzuri.

Trump pia ametumia akaunti yake ya twitta kutwitti kueleza kuwa alikuwa na wakati mzuri alipofika mara ya kwanza Ikulu na kusema kuwa mkewe Melania amevutiwa na Michelle Obama. 
 Rais Barack Obama akipeana mkono na rais mteule Donald Trump 
                    Melania Trump akimsikiliza Michelle Obama walipokutana Ikulu 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad