HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 24, 2016

MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA GONGO LA MBOTO, BAKARI SHINGO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA MBALIMBALI IKIWEMO YA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.

 Mwenyekiti Wa Serekali Ya Mtaa Wa Gongo la mboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume na taratibu za makusanyo ya fedha za umma.

RC Makonda anaendelea na ziara yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo amefanya ziara katika Wilaya ya  Ilala. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad