HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 7, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA


 Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Susan Kolimba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Massauni  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim majaliwa akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju  katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia wambura akifuatilia   mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju(kulia) Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako(katikati) na Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo wakati wa mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.



 Baadhi ya mawaziri na wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad