HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 6, 2016

MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang(kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua mgeni rasmi katika mahafali ya 12.

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kulia)akifurahia jambo na familia ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang.
Picha ya pamoja na wahitimu.








Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akitunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.

Mdau Gasto Leseiyo ambaye ni Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akifurahia baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha. Mdau Goodluck Kimaro ambaye ni Afisa Rasilimali Watu wa TBL Arusha Plant akifurahia baada ya kutukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kushoto)akizungumza na Pastor Earl Pirkle(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Mount Meru Profesa Elijah Wanje.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad