HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 8, 2016

KATIBU TAWALA MKOA WA DAR ES SALAAM, AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI LEO

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo Rehema Msami kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakichukua pointi wakati alipokuwa akiwasilisha Katibu Tawala wakati wa ufunguzi huo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika mafunzo hayo.
Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake yaliyofanyika leo November 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam,leo. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).
Mratibu wa Mafunzo hayo, kutoka Kituo cha Msaada wa sheria kwa Wanawake (WLAC) Rehema Msami, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo wakati wa ufunguzi huo.

Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake, Karilo Karilo, akizungumza kabla ya mgeni rasmi kufungua mafunzo hayo.


Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad