HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 6, 2016

ZEC na NEC zakutana kuboresha utekelezaji wa majukumu yao.

 Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  Bw. Emmanuel Kawishe akifafanua jambo kwenye  Mkutano wa NEC  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.Kushoto ni Mhasibu Mkuu wa NEC Suleiman Balula.
 Mwenyekiti wa Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambaye ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani akifafanua jambo kwenye mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
 Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambaye ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa ZEC Bw. Salum Kassim Ali, akieleza jambo kwenye mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
 Afisa Uandikishaji Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Wilaya ya Kati Unguja, Bw. Mbaraka Said Hassuni ambaye ni Mwanasheria akichangia jambo kwenye Mkutano kati ya NEC na ZEC unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  Giveness Aswile akichangia jambo kwenye Mkutano kati ya NEC  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar. 
 Baadhi ya Maafisa wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wakifuatilia uwasilishaji wa masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya tume hizo kwenye mkutano unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
   Mwenyekiti wa Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambaye ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani na Mwenyekiti mwenza wa mkutano huo Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Salum Kassim Ali, wakiongoza mkutano huo wa siku mbili unaofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar.
 Picha na Hussein Makame, NEC-Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad