HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 5, 2016

WIZARA YA AFYA YATEMBELEWA NA NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI-AFYA DKT.ZAINABU CHAULA.

Picha ya pamoja: Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI-Afya Dkt. Zainabu Chaula akifuatiwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Mh. Siaba Nkinga.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI-Afya Dkt. Zainabu Chaula akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu wakati alipotembelea Wizarani hapo mapema jana Oktoba 4.2016.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI-Afya Dkt. Zainabu Chaula akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya alipomtembelea ofisini kwake Wizarani jana Oktoba 4.2016.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI-Afya Dkt. Zainabu Chaula akifuatiwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad