HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 11, 2016

MSHINDI WA JIONGEZE NA M-PAWA AKABIDHIWA KITITA CHAKE.

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.
 Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo mkoani humo Jumeo Khamis.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad