HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 14, 2016

KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU J.K. NYERERE

Leo Tanzania inaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia. Kitaifa maadhimisho haya huambatana na sherehe za kuzima Mwenge na kwa mwaka huu itafanyika katika mkoa wa Simiyu.
 Akiwa mgombea wa Urais mwaka jana Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huko kijijini Mwitongo, Butiama, mkoani Mara akiwa ameongozana na ujumbe wake.
 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiongea na viongozi mbalimbali waliomtembelea Butiama
 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na Waziri Mkuu wa India Indira Ghandi pamoja na Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, Rais Josef Tito wa Bulgaria, Milton Obote wa Uganda na Sir Seretse Khama wa Botswana
 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akikumbatiana na aliyekuwa mgombea Urais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya matokeo kutoka na Mhe. Benjamin Mkapa kutangazwa mshindi kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu mwaka 1995.

Kwa makala maalumu ya 
Baba wa Taifa BOFYA HAPA

KUONA TAARIFA MBALIMBALI ZA MWALIMU  BOFYA LINK HIZI:







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad