HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 25, 2016

ACHEZESHEWA KICHAPO KIKALI KWA MADAI YA KUIBA SIMU YA MTU

Kijana ambaye jina lake halikufahamika kwa haraka, alijikuta akichezeshwa kichapo maridadi mara baada ya kutuhumiwa kuiba simu ya mtu aliekuwa kwenye Basi la Mwendo Kasi, maeneo ya Kariakoo, Jijini Dar es salaam. Angalia video hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad