HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 20, 2016

UMAHIRI WA GEREZA LA WILAYA TUKUYU KWA KILIMO CHA CHAI MKOANI MBEYA

Wafungwa wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya wakivuna chai katika Shamba la Gereza hilo kama inavyoonekana katika picha. Gereza hilo lilijengwa mwaka 1994 na shughuli zinazofanyika ni Kilimo cha chai, Kilimo cha Migomba, Bustani za mbogamboga pamoja na Utunzaji wa mazingira kwa upandaji miti na ufugaji wa samaki kwa majaribio.(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Mkuu wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya, SSP. Prosper Kinyaga akionesha sehemu ya eneo lenye ekari 26 linaloendesha Kilimo cha chai katika gereza hilo.
Muonekano wa baadhi ya mashamba ya Kilimo cha chai katika Gereza Tukuyu. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad