HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 21, 2016

TRA YATEMBELEWA NA WAZIRI WA FEDHA JIJINI DAR LEO.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata (kulia), akimpokea Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), wakati Waziri huyo alipotembelea Makao Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016, kujadili masuala mbalimbali ya Usimamizi wa Kodi.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kulia), akifanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata (kushoto), kujadili masuala mbalimbali ya Usimamizi wa Kodi wakati Waziri huyo alipotembelea Makao Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad