HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 29, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na balaza la mawaziri jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad