HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 11, 2016

HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOIFYEKA MIWA YA MTIBWA KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa Timu ya Mtibwa Suger, Issa Issa (21) akiachia shuti kali langoni mwa Timu ya Simba ambalo halikuzaa matunda, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Mshambuliaji wa pembeni wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akimlia denge, Beki wa Timu ya Mtibwa Suger, Ally Sharifu, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Mchezaji wa Simba, Laudit Mavugo akionyesha uwezo wake mbele ya Beki wa Mtibwa Suger, Salim Abdallah, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Nahodha wa Timu ya Simba, Jonas Mkude akichuana kuwania mpira na Mchezaji Kelvin Idd, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Mshambuliaji wa Mtibwa Suger, Ibrahim Juma, akijaribu kutaka kumtoka Kiungo wa Simba, Mzamiru Yassin, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Kipa wa Timu ya Mtibwa Suger, akiokota mpira wavuni baada ya kufungwa na Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (anaeonekana nyuma ya nyavu akishangilia), katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.
 Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia ushindi wao walioupata dhidi ya Timu ya Mtibwa Suger, katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 2-0.






































No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad