HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 28, 2016

AJALI YA MAAJABU JIJINI DAR


Wapita njia wakitazama "maajabu" gari hili lililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha njia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana.Picha na K-Vis Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad