HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 23, 2016

MKUU MPYA WA WILAYA YA ARUSHA AAPISHWA LEO


Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro akila kiapo kwenye sherehe fupi za kumwapisha zilizofanyika leo jijini Arusha na kusimamiwa na mkuu wa mkoa huo Mhe. Mrisho Gambo.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa wilaya mpya ya Arusha,Gabriel Daqarro(kulia)wanaoshuhudia ni Katibu Tawala mkoa,Richard Kwitega na Afisa wa Itifaki,Mukhsin Khasim.
Viongozi mbalimbali katika Jiji la Arusha wakifatilia tukio hilo.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi a mkoa wa Arusha baada yasherehe za kula kiapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad