HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 17, 2016

ANGALIA HAPA PICHA KIBAO ZA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA YANGA NA AZAM, UWANJA WA TAIFA

Beki wa Timu ya Azam FC, David Mwantika akizua mpira kwa umaridadi mkubwa huku akimdhibiti Mshambuliaji machachari wa Yanga, Donald Ngoma katika mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni sehemu ya ufunguzi wa Ligi kuu Tanzania bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Dakika 90 zilimalizika kwa timu hizo kulingana 2-2, na kupelekea kuamuliwa kupigwa mikwaju ya penati iliyoipa ushindi timu ya Azam kwa mabao 4-1.
 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akitaka kuzuia shuti la Beki wa Azam, Shomari Kapombe.
 Kipa wa Azam akiwa chini huku mpira ukiwa wavuni, baada ya kupelekwa markiti na Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma kwa mkwaju wa penati.
 Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiutuliza mpira kwa ustadi mbele ya Benchi la Wapinzani wake.





 















Mashabiki wa Yanga kabla ya Mpira kuisha.
 
Washabiki wa Azam.
Washabiki wa Yanga baada ya Mchezo kumalizika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad