HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 27, 2016

Watu kadhaa wadhaniwa kupoteza maisha katika ajali ya Basi la UDA kugonga Treni eneo la Kamata Kariakoo usiku huu, wengi wajeruhiwa

Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa Basi la UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam usiku huu wakati Basi hilo likotokea stendi ya Gerezani Kariakoo kuelekea Mbagala, inadaiwa kuna watu wamejeruhiwa katika ajali hiyo huku wengine wakidhaniwa kupoteza maisha. tutawaletea taarifa kamili baada ya kuipata kutoka vyombo vya Ulinzi wa Usalama jijini Dar es salaam.
Muonekano wa Badi hilo baada ya Kugonga treni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad