HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 23, 2016

MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE ALIPOMTIA TEKE DANSA WAKE, SERIKALI YA KENYA YAMFUNGASHIA VIRAGO




Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini DR Congo, Koffi Olomide alikionekana kumpiga teke mwanamuziki wake wakati walipotua kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JKenyatta, jijini Nairobi nchini Kenya. ilidaiwa kuwa baada ya kufanya kitendo hicho, Serikali ya Kenya iliamua kusitisha ziara ya Mwanamuziki huyo na kuamuriwa kuondoka, jambo lilipelekea pia kuvunjika kwa Onyesho alilotakiwa kulifanya nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad