HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 23, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI ZA WADAU WAKIWA KATIKA HARAKATI YA KUSAKA CHOCHOTE

 Vijana wengi Mjini wamekuwa na mbinu za kila aina ili mradi tu kutafuta chochote na kuendelea kulisongesha mbele gurudumu la Maisha kwa kupata mkate wa kila siku. Pichani ni kijana anaejishughulisha na uoshaji wa Vioo vya Magari katika Mataa ya Kuongozea Magari eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam.
Kazi ikiendelea
 Mdau akitafuta wateja wake wa Maji safi ya Kunywa.
 Tryangel za Magari.
Karanga fresh kabisa toka Shamba.
 Mdau akitafakari jambo.
 Mama ntiliea akiwahisha Msosi kilingeni kwake.
 Mdau akikata mitaa na bidhaa zake.
 Urembo wa Magari katika Barabara ya Ohio, Jijini Dar.
 Miwani mwanana kabisa.
 Clips.
 Biashara ya Hela za chenji.
 Matunda ya leo leo toka kwa Dada.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad