HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 29, 2016

JENGO LILILOKUWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UJENZI LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO JIONI HII JIJINI DAR


JENGO la ambalo liko katika hatua za mwisho za ujenzi lililopo katika makutano ya Mtaa wa Samora na Mkwepu jijini Dar limenusurika kuteketea kwa moto jioni ya leo baada ya moja ya Ghorofa katika jengo hilo kushika moto na kuteketeza viyoyozi vilivyokuwepo katika ghorofa hiyo
Mashuhuda wameeleza kuwa moto umeanza majira ya saa 11  kwa kuanza kufuka katika ghorofa ya tatu. Chanzo cha moto hakifahamika mara moja.
Moshi ukitanda angani wakati moto ukiendelea kuwaka katika Jengo lililopo  mtaa wa Mkwepu na Samora jioni ya leo, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la zimamoto likiwa katika harakati za kuzima moto katika jengo lililopo Mtaa wa Samora na Mkwepu jijini Dar es Salaam jijini leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad