HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 9, 2016

YALEEE YALEEEE.....

Magari yazuiliwa kupita kutokana na lori la Mizigo kupata hitilafu katikati ya Barabara  lilipokuwa likiingia Barabarani eneo la Mahenje Njiapanda ya Mlowo Mbozi mkoani Songwe.
Magari hayo yaliyo kwama kupita yakitafuta upenyo wa kupita kuendelea na Safari.
Upenyo ukiendelea kutafutwa na baadhi ya Magari yaliyo wekewa Uzio na Lori Mbele.
PICHA NA MR.PENGO MMG

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad