HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 10, 2016

HUU NDIO USAFIRI PENDWA WA KUSAFIRISHIA MIWA ENEO LA SANTAMALIA MATAI WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA

Mfanyabiashara wa Miwa maharufu kutoka Santamalia Matai Mkoani Rukwa akiwa na Kipando chake ambacho anakiaminia kusafirishia Miwa yake kupeleka kwa Wateja wake.
Mdau mwengine ambae pia ni mfanyabiashara ya Miwa akikokota kipando chake kuelekea Sokoni kwa wateja wake.
Miwa hiyoo ikindelea kukatiza eneo la Santamalia kama ilivyo ada kwa wafanyabiashara wa Miwa kwa eneo la Santamalia Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa.
Mdau akikatiza mbele ya Kipando cha muuza Miwa wa Matai
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad