HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 26, 2016

WAMBURA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI.

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua Michael Richard Wambura kuwa Kamishna wa mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Rwanda na Msumbiji unaotarajiwa kufanyika jijini Kigali, Juni 3, 2016. 

Wambura ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), atakuwa Balozi mzuri katika mchezo huo unaokutanisha timu ambazo nchi imepana nazo. Msumbiji iko Kusini mwa Tanzania wakati Rwanda iko Magharibi mwa Tanzania. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad