HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 31, 2016

WADAU WA MAWASILIANO WANAOANDAA MKAKATI WA KITAIFA WA USALAMA KWENYE MTANDAO.

 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Injinia Clarence Ichwekeleza akifungua Semina ya wadau na wataalamu kutoka Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya Madola (hawapo pichani) kuhusu Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini.
Mtaalamu Mwelekezi wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Martin Koyabe akitoa mada kuhusu uandaaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mitandao. 
 Wadau wa Sekta ya Mawasiliano wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao wakiwa katika picha ya pamoja
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad