HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 2, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA SSRA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akimpatia maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akimsalimia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akiwasalimia baadhi ya Maofisa wa Mamlaka hiyo, alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.
Wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad