HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 5, 2016

KAMISHNA MKUU WA ZIMAMOTO AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akitoka kukagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linalojengwa eneo la Tazara Mchicha mapema leo asubuhi alipokuwa akiendelea na ziara yake ya kutembelea vituo vya Zimamoto katika Jiji la Dar es salaam.
Mkuu wa Kituo cha Zimamoto na Uokoaji Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Kamishna Msaidizi Juma Yange akitoa maelezo namna kisima cha maji maalumu ya Zimamoto (fire hydrant) kinavyofanya kazi kwa Kamishna Jenerali Thobias ndengenye alipotembelea kituo hicho mapema leo.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akijitambulisha kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Ramadhani Maleta alipotembelea leo uwanja huo wakati akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kutembelea vituo vya zimamoto na uokoaji nchini. (Picha na FC Godfrey Peter)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad