HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 26, 2016

ipigie kura filamu ya MIKONO SALAMA katika Shindano la Galway African Film Festival

Naomba tuipigie kura Short filamu ya MIKONO SALAMA, Inayowakilisha Tanzania kwenye Shindano la Galway African Film Festival, Ipigie kura kushinda tuzo ya Filamu Bora. 

Kura yako Moja ni muhimu kwa ushindi, Hii ni kwa ajili ya Uzalendo na Ushindi Kwa Nchi
Vote, Repost, share kisha Sambaza kwa wingi iwezekanavyo.

BOFYA LINK HIYO KUIPIGIA KURA FILAMU HIYO.

Kwa njia Rahisi ya kupiga kura angalia hapo chini.

IANGALIE FILAMU HIYO HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad