HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 12, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA YANASA TASWIRA MBALIMBALI.

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa mjasiliamali akiwajuu ya baisikeli ya miguu mitatu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wake, leo jijini Dar es Salaam.
 .Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha baisikeli ya miguu mitatu (Guta) akiwa na abiria wawili mizingo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa abiria hao, leo jijini Dar es Salaam.
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa mjasiliamali akiwahudumia wateja wake waliofika katika biashara yake, leo jijini Dar es Salaam.
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa mjasiliamali akiwahudumia wateja wake waliofika katika biashara yake, leo jijini Dar es Salaam.
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa mjasiliamalia akusuburi wateja leo jijini Dar es Salam.
Mvuvi akitafuta samaki na mazao ya maji leo kama alivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa.
Waposekoni vitoweoo
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globul ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad