HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 12, 2016

CHEKESHAJI WA ORIGINO COMEDY,MPOKI AJIUNGA NA TIMU YA EFM RADIO.

Mchekeshaji maarufu wa Orijino Comedy Silvester Mjuni alimaarufu kama MPOKI,  amejiunga na team ya EFM Radio na kuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi cha UBAONI kinachoongozwa na Gardner G. Habash kwa kushirikiana na bikira wa kisukuma (Seth) kinacho kuwa hewani kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 1:00 jioni. Kushoto Mkurugenzi wa Efm Radio Francis Ciza akimkaribisha MPOKI kuungana na team ya EFM Radio.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad