HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 16, 2016

demo-image

MUONEKANO WA MAFIATI MATAA MPAKA MWANJELWA JIJINI MBEYA LEO..

Image21
Taswira Mbalimbali za Muonekano wa Eneo la Mafiati Mataa mpaka eneo la Mwanjelwa hali ilivyo leo katika Jiji la Mbeya kwa Maeneo hayo..
Image20
Magari Mbalimbali yakiwa katika Foreni kusubiri kuruhusiwa Kuvuka kwa wakati ulio pangwa katika Eneo la Mafiati Mataa Jijini Mbeya...
Image22
Mnyororo Eneo la Mafiati Mataa kusuburi kuruhusiwa Magari kupita kwa wakati..
Image37
Baadhi ya Watu Wakazi wa Jiji la Mbeya wakivuka Barabara eneo la mwanjelwa jijini mbeya..
Image38
Mnyororo Mkavu Eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya..
Image39
Image49
Baadhi ya Madereva wa Bajaji sambamba na Madereva wa Bodaboda wakipita Njia ambayo si Sahihi kwa lengo la kuepukana na Foreni hiyo iliyopo katika Eneo hilo la Mafiati mpaka Soweto Jijini hapo..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *