HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 8, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MUONEKANO WA MAENEO MBALIMBALI YA JIJINI MBEYA....

Kamera yetu ikiangazia Taswira mbalimbali za Jiji la Mbeya hii leo..., Pichani hapo juu ni kipita Shoto kikuu cha Mkoa wa Mbeya kilichopo katikati ya Jiji la Mbeya njiapanda ya Sokomatola, Uyole, Uhindini na Uzunguni..
Utulivu mwanana Barabara ya Uhindini..
Pilika pilika za hapa na pale katika Stendi ya Daladala Kabwe Jijini Mbeya...
Eneo la Mafiati Mataa..
PICHA NA MR.PENGO MBEYA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad