HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 1, 2015

FOLENI KWA MAMA MUUZA CHIPS DUME

 Katika pita pita ya kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa, ilibahatika kuzinasa taswira hizi za wateja wakiwa kwenye foleni ya kupata Mihogo ya kukaanga (Chips Dume) ili kuupitisha mchana kwa usalama salimini. Huku uswazi kwetu huu ndio msosi wa uhakika na wa bei chee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad