HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 27, 2015

NGOMA MPYA MTAANI: 'Shaghala Baghala' kutoka kwa DarBongo Massive

"Baada ya kuwasubirisha mashabiki wa muziki wa 'Dar Boma' na video ya 'Shaghala Baghala' iliyoanza kuchezwa kwenye TV Station za hapa Bongo mwanzoni mwa wiki hii, Leo 27, November 2015 Dar Bongo Massive tumeamua kuachia 'Shaghala Baghala' official online hivyo tunaomba suport yenu na asanteni sana".

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad