HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 29, 2015

Madereva Wa mjini na utaalam Wa uendeshaji magari uliotukuka

Hii nimekutana nayo pale kona ya Kinondoni makaburini kama ukitoka Viwanja vya Leaders club, ambapo hiyo gari aina ya Noah ilizipita gazi zingine na kukatisha kama inaelekea mjini. Huku kukiwa na gari nyingine iliyokuwa ikikatisha kuingia njia hiyo. Hii inaonyesha Dereva Wa gari hilo ni hodari wa kukutumia chombo hicho au wadau mnasemaje juu ya hili???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad