HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 10, 2015

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 10, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 10, 2015

Star TV
Slaa asema raisi wangu ni Dkt. Magufuli,tatizo la umeme ni la muda mfupi na linafanyiwa kazi na serikali, pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/aGdg2yzuZiM

Ch 10
Lowassa, Kingunge Moto Arusha, Bulaya Asota Rumande, atolewa kwa dhamana, Magufuli amlipua Mbatia. Habarika na Magazeti ya Leo October 10. https://youtu.be/8pS5vbwl8Uo

Azam TV
Fuatilia habari mbalimbali za Magazeti ya michezo uhabarike na habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa.https://youtu.be/3-wKynTHa68

TBC
Je unajua nini kimejiri katika ulingo wa siasa katika mbio za kuelekea uchaguzi mkuu? Tazama hapa.https://youtu.be/aGdg2yzuZiM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad