HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 8, 2015

MWANAMZIKI,ARJUN ATUA DAR LEO

Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani)juu ya ujio na kukutana na watu mbalimbali katika Ukumbi wa Viva Tower jijini Dar es Salaam na  Jumamosi atafanya shoo Zanzibar katika ukumbi wa Kendwa Rocks Beach Resort iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam.
Mkuu Kitengo  wa kinywaji cha John Worker na Masoko na uboreshaji,Stanley Samtu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya udhamini wa mwanamziki huyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam,Kulia ni Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy ,kushoto ni Mwanamziki,Lina Sanga .
 Mwanamziki,Lina Sanga akizungumza leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad