HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 7, 2015

MKUU WA WILAYA YA LINDI YAHAYA NAWANDA AZINDUA MRADI WA"HAKUNA WASICHOWEZA"

 Mkuu wa wilaya ya lindi,Yahaya Nawanda(katikati)akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Aisha Mahadni mwanafunzi wa shule ya msingi stsdium,Renatus Rwehikiza mkuu wa Voacom Foundation,Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania,Diana Kisaka na mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo Lalat Saidi.
 Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya msingi Stadium mkoani Lindi wakifurahia baada ya kukabidhiwa vifaa vya kujistili pindi wakiwa kwenye hedhi na Mkuu wa wilaya hiyo,Yahaya Nawanda(hayupo pichani)baada ya kuzindua  mradi wa ”Hakuna wasichoweza” mkoani humo unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kustiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania.
 Picha ya pamoja na wadau wa elimu wa mkoa wa lindi baada ya uzinduzi rasmi wa mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo.
 Mkuu wa wilaya ya lindi,Yahaya Nawanda(katikati)akisisitiza jambo kwa wadau mbalimbali waliohudhuria katika uzindua wa mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo.Kushoto ni Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania,Diana Kisaka na Renatus Rwehikiza mkuu wa Voacom Foundation.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad