Afisa
Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya
mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar
wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi
linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol
akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa
sheria za mitandao wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba
na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Afisa
Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati.
Afisa
Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akimsikiliza waandishi
wa habari wakichangia mada kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao
wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi
linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.
Wanahabari
wakimsilikiza kwa makini Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice
Masigatiwakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi
linaloendelea TGNP jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment