Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Tuesday, September 1, 2015
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO
RAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment